HABARI Rais wa Urusi Vladimir Putin ameshinda kwa urahisi katika uchaguzi uliofanyika Jumapili kwa kupata asilimia 76.6 ya kura na hivyo kumhakikishia muhula wa nne madarakani, licha ya upinzani kudai kulikuwa na udanganyifu. www.wbca.st/YKAZww

Maoni

Machapisho Maarufu