Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya jinai Fatou Bensouda ametaka machafuko yanayofanyika katika Ukanda wa Gaza kusitishwa na ameonya kuwa mahakama hiyo huenda ikawakabili wale ambao wameyafanya makosa makubwa.

Maoni

Machapisho Maarufu