Chama tawala nchini Burundi kimesisitiza utiifu wake kwa Rais Pierre Nkurunziza kikisema kuwa ni kiongozi mwenye maono na kuwa kitafanya kazi katika kutekeleza mawazo yake. Tangazo hilo limetolewa kabla ya kuandaliwa kura ya maoni ambayo huenda ikarefusha utawala wa Nkurunziza wka karibu muongo mmoja. Nchi hiyon inatarajiwa kufanya kura ya maoni mwezi Mei kuamua kama katiba ianstahili kufanyiwa marekebisho ili kurefusha muhula wa rais hadi miaka saba kutoka miaka mitano.

Maoni

Machapisho Maarufu