Uingereza imetangaza kuwa itawafukuza nchini wanadiplomasia 23 wa Urusi na kusitisha mawasiliano ya nagazi ya juu na ikulu ya Kremlin, kuhusiana na shambulio la sumu ya kuuwa mishipa ya fahamu dhidi ya jasusi wa zamani wa Urusi na binti yake nchini Uigereza. Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amealimbia bunge kuwa wanadiplomasia hao 23, waliotambuliwa kuwa maafisa wa upelelezi ambao hawakubainishwa, wana muda wa wiki moja kuondoka nchini humo.

Maoni

Machapisho Maarufu