Idadi ya maafisa waandamizi wanaofutwa kazi na Rais Donald Trump wa Marekani au kujiuzulu kutoka utwala wake inazidi kuongezeka. Afisa wa karibuni wa ngazi ya juu ambaye amekumbwa na fagio ni Rex Tillerson aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani. Tizama Katuni yake GADO kwa uchambuzi zaidi.

Maoni

Machapisho Maarufu