KENYA

Chama tawala nchini Kenya cha Jubilee, kimesema kiko tayari kuunda serikali ya umoja wa kitaifa pamoja na chama ODM cha Raila Odinga kuelekea uchaguzi mkuu wa 2022. Kiongozi wa walio wengi katika bunge la Kenya Aden Duale amesema bungeni kuwa chama cha Rais Kenyatta kiko tayari kushirikiana na chama cha Odinga, kwa sharti kwamba kinachukuwa nafasi nyingine lakini siyo ya Rais.

Maoni

Machapisho Maarufu