Tarafa moja jijini Kigali imetangaza marufuku ya matumizi ya adhana wakati wa ibada za Waislamu huku mamlaka zikisema ni hatua ya kuwaepusha wananchi na kelele za wakati wa ibada kwa Waislamu. Hatua hii imejiri wiki mbili baada ya kufungwa makanisa zaidi ya mia saba jijini Kigali kwa tuhuma hizo huku wachungaji kadhaa wakiendelea kuzuiliwa kwa shutuma za kukaidi agizo hilo.

Maoni

Machapisho Maarufu