Rais wa Mauritius Ameenah Gurib-Fakim amekataa kujiuzulu, akiapa kupambana na madai ambayo yamemtumbukiza katika kashifa kubwa la kifedha. Gurib-Fakim, Rais huyo pekee mwanamke barani Afrika, anatuhumiwa kwa kutumia kadi ya benki aliyopewa na shirika moja lisilo la kiserikali kujinunulia bidhaa na kulipia huduma.

Maoni

Machapisho Maarufu